Je umewahi kuchanwa au kakatwa na wembe? natumai uchungu unaufahamu..lakini mjini Pokot wasichana wanataabika,haswa wale wanaoolewa kwani baada ya kukeketwa wakiwa wasichana wadogo, sasa kizaazaa ni kufunguliwa njia na la kushangaza ni kwamba wanawake hulazimika kutumia pembe ya ng'ombe.Naam bila kukupotezea wakati tupate taarifa hii kutoka Pokot iliyoandaliwa na Lulu Hassan,ambaye anasema kwamba wenyewe wamechoshwa na zoezi hili na kuamua sasa kulitupa katika kaburi la sahau.This woman demonstrates how after Fgm they reopen the vagina using a bulls horn:( where the man waits outside then comes in to have sex with the agonizing bleeding woman....in pokot district my province rift valley. join our East Africa page for more info.
Madhara au athari hizi zinakuwa jinamizi linalomfuata mwanamke maisha yake yote.
Balozi Lucy Mashua ,
Balozi wa kukabiliana na ukeketaji duniani.
Msaidizi wa wakimbizi hapa Marekani
Mwenye kiti wa kamati inoyopinga ukeketaji duniani.